Baada ya Kidum kuchemsha watu uko Lille France, Atakonga Moto ijumamosi hii tarehe 5 March Hamburg Ujeremani. Juma mosi tarehe 5 mwezi wa tatu Mwanamziki kikongwe Ni mbona Jean Pierre Kidum almaharufu Kidum Kibido awasili inchi Ujeremani katika miji Hamburg kwenye show kubwa. Kama tulivyo viongea na Mooja wa ma Promoter anae andaa hio Show […]
↧