Quantcast
Channel: music – Indundi | Promote Burundi Beauty online
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3189

#indundi | Mwanamziki Mista Champagne amepatwa na msiba

$
0
0
Mwanamziki kutoka inchini Congo anaejulikana inchini Burundi kama Mista champagne AKA Fally wa Burundi, pamesikika habari asubihi inaosemekana kama Mwanamziki huu amekosa mama yake mzazi alikuwa anaeshi inchini Congo. <<Nakosa niseme nini yani nachanganyikiwa kwakupoteza mama yangu mzazi, R.I.P my mama tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi, ulituzaa tuko watoto 13 ukatukomalisha tutazidi kukupenda atutakusahu […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3189

Trending Articles