Black g kuwa amerudi kwenye game ya Mziki Burundi na Nyimbo mpya inakuja kwa jina la I’m Sorry. I’m Sorry ni jina ya nyimbo Mpya ya mwanamziki Black G akitoa Ujumbe kwa wanaume wote ambao wamesha owa kuhusu ugomvi kati yao na wake zao. Mwanamziki huo anatoa hio nyimbo baada ya siku kadhaa kutosikika kwenye […]
↧