Mooja wa wanamziki wakubwa uko Afrika mashariki anaejulikana kama Papa Dangote leo ijumamosi terehe 5 March atakamua uko Los Angeles kama alivyo viongea akipitia Instagram. Mwanamziki huo mbele ya Kuwasili uko Los Angeles, amebaki karibu 4 hours kwenye kiwanja cha Ndege cha Las Vegas akingoja ndege ya kumuelekeza LOS ANGELES. Baada ya Kufika kwenye kiwanja […]
↧